ni vigumu kujua jinsi gani mototo amelelewa ,lakini katika mashule mengi humu nchini hio ndo jinsi wanafunzin hudhihirisha ule upande mwingine wa tabia zao.kama uonavyo katika kanda hiyo ya video hivyo ndo wanafunzi wengi huweza kujimwaga mwaga katika uninguaji viuno. swali ibuka ni je, walimu huwa wapi wakati wa uninguaji viuno huo?
ama je sherehe hizi huwa na dhana gani katika tabia na masomo ya wanafunzi?
ukitafakari hayo tazama uninguaji viuno wa wanafunzi hao.......
BY.
OMAR MAZERA.
TECHNICAL UNIVERSITY OF MOMBASA.
No comments:
Post a Comment